Jump to content

Teknolojia/Habari

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Tech/News and the translation is 100% complete.


Kufuatilia na kuelewa shughuli zote za kiufundi zinazofanyika katika harakati ya Wikimedia ni kazi ngumu na inayotumia muda.
Kwa kujiunga na Tech News, unaweza kusaidia kufuatilia mabadiliko ya hivi karibuni ya programu ambayo yanaweza kuwa na athari kwa Wikimedia, na kupokea muhtasari wa kila wiki kwenye ukurasa wako wa mazungumzo, bila jargon ya kiufundi.




Pata Habari za Teknolojia

Jiunge

400pxx293pxpx
Kuna njia nyingi za kupokea Habari za Teknolojia:


Soma au tangaza Habari za Teknolojia

400pxx293pxpx
Habari za Teknolojia huchapishwa kila juma. Unaweza:




Saidia kuandika Habari za Teknolojia

Andika na urahisishe
Ongeza nyenzo kwenye Habari za Teknolojia! Nyongeza yoyote inakaribishwa sana kila wakati.

Ongeza taarifa, hata kama huna uhakika nazo ni muhimu za kweli. Ni bora kuondoa kitu baadaye kuliko kukosa maelezo ambayo yalipaswa kujumuishwa.

Kumbuka wakati wa kuhariri:

  • Tumia lugha rahisi, isiyo ya kiufundi;
  • Tumia maneno mafupi, ya kawaida na sauti ya kazi kwa vitenzi;
  • Tumia <abbr> kwa mafupisho na viashiria;
  • Weka maelezo mafupi (kwa kawaida si zaidi ya sentensi mbili fupi);
  • Link kwa maelezo, kwa njia ya ajabu translatable maudhui kwenye wiki, na kiungo muhimu kwanza
  • Tumia ([[File:Octicons-sync.svg|12px|link=|class=skin-invert]]) kwa vitu ambavyo ni vimetumika kwa idadi kubwa ya makala ya jarida (toleo jipya MediaWiki, baadhi ya mikutano) na ([[File:Octicons-tools.svg|15px|link=|class=skin-invert]]) kwa vitu vya juu vinavyolengwa kwa wahariri wa kiufundi.
Fuatilia mabadiliko
Angalia vyanzo vifuatavyo vya habari. Chagua wale unaowafahamu na unaojihisi vizuri nao: ikiwa unaelewa nambari, unaweza kuangalia majukumu, kwa mfano, wakati muhtasari wa mailing list majadiliano inaweza kuwa sahihi zaidi kwa mtu ambaye hajui nambari:


Chagua habari
Kutoka kwa vyanzo hivyo, chagua unachofikiri ni muhimu:
  • kwa Wana Wikimedian wasio na ujuzi maalum wa kiufundi, ambao huenda wasijifunze kuhusu mabadiliko ya kiufundi ambayo yanaweza kuwaathiri;
  • kwa watu wanaotuma habari hizi kwa wahariri wenzao, kama vile pampu za kijiji au bao.

Ongeza matini kwenye Samari inayo fuata.

Mchango wowote ni muhimu, hata ikiwa ni kwa kuongeza tu kiungo. Washiriki wengine wanaweza kusaidia kuandika au kurahisisha maelezo marefu baadaye.

Kuna namna nyingi za kuongeza habari za teknolojia.
Anza sasa
Toleo lijalo limeratibiwa kuchapishwa mnamo 2025-04-21.


Tafsiri na uweke mahali
Muhtasari wote wa kila juma unaweza kutafsiriwa. Ikiwa unaweza kuandika katika lugha zaidi ya moja, tafadhali fikiria kutafsiri muhtasari, kwa faida ya wahariri wenzako. Toleo la juma lijalo litakuwa tayari kutafsiriwa Ijumaa, mwisho wa siku UTC.
Tafuta wachangiaji
Waalike watu wengine wanaotaka kuchangia Habari za Teknolijia, ili kila mtu afanye kazi kidogo.