Jump to content

Chaguzi za Wikimedia Foundation/2022/Tangazo/Shughuli Zijazo

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2022/Announcement/Upcoming Activities and the translation is 100% complete.

Shughuli zijazo za uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini wa 2022

Unaweza kuona ujumbe huu ukiwa umetafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki.

Habarini nyote,

Ujumbe huu unahusu shughuli mbili zijazo za uchaguzi wa Baraza la Wadhamini wa 2022.

Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini utakuwa na Dira ya Uchaguzi ili kusaidia wapigakura katika mchakato wao wa kufanya maamuzi. Wapiga kura wanaostahiki wanaweza kupendekeza matamko mnamo Julai na kupiga kura kuhusu ni taarifa zipi zitatumika katika Dira ya Uchaguzi mwishoni mwa Julai. Tafadhali tembelea Ukurasa wa Dira ya Uchaguzi kwa maelezo zaidi.

Wenu,

Mkakati wa Harakati na Utawala kwa niaba ya Kikosi Kazi cha Uteuzi wa Bodi na Kamati ya Uchaguzi