Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili/Miongozo ya utekelezaji iliyorekebishwa/Tangazo/Upigaji Kura 3
Appearance
Upigaji kura utafungwa hivi karibuni kuhusu Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
Habarini nyote,
Upigaji kura kuhusu Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili unafungwa saa 23.59 UTC mnamo Januari 31, 2023. Tafadhali tembelea ukurasa wa maelezo ya mpiga kura kwenye Meta-wiki kwa maelezo ya ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kupiga kura. Maelezo zaidi kuhusu Miongozo ya Utekelezaji na mchakato wa kupiga kura yanapatikana katika ujumbe uliotangulia.
Kwa niaba ya Timu ya Mradi wa UCoC,