Jump to content

Mkataba wa Harakati/Uidhinishaji/Upigaji Kura/SecurePoll - Upigaji kura wa Washirika

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Movement Charter/Ratification/Voting/SecurePoll - Affiliates voting and the translation is 100% complete.

Uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati wa Wikimedia 2024 (Washirika)

Piga kura

Ndiyo

-

Hapana

Swali

Je, kundi lako linaunga mkono uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati wa Wikimedia?

Kura hii ni ya mchakato wa kuridhia Mkataba wa Harakati wa Wikimedia. Wasilisha kura ya kundi lako hapa chini. Kwa maelezo zaidi, rejelea ukurasa wa usaidizi wa wapiga kura kwenye Meta-Wiki.

Tafadhali chagua "ndiyo" au "hapana". Uchaguzi wa "-" hauathiri matokeo kwa njia yoyote ile, lakini unakuwezesha kuacha maoni.

Iwapo kundi lako lina wasiwasi kuhusu Mkataba wa Harakati wa Wikimedia, tafadhali onesha sehemu ambayo/ambazo zina utata na uoneshe mambo gani yanayowatatiza. Maoni yataonekana hadharani. Tafadhali usitoe taarifa za kibinafsi katika maoni yako. Asante.

Nyenzo nyingine

  • title: Uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati wa Wikimedia
  • jumptext: Kura itapigwa kwenye tovuti kuu ya wiki. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kupelekwa huko. Tafadhali kumbuka kuwa unapopiga kura baadhi ya taarifa fulani ikiwemo anwani yako ya IP na taarifa za wakala wa mtumiaji zitakusanywa ili kuruhusu wachunguzi kuhakikisha kwamba kura hiyo ni ya uadilifu. Taarifa hizo zitafutwa siku 90 baada ya uchaguzi kukamilika na zitaonekana tu kwa wakaguzi na washauri wa uchaguzi wa wafanyakazi.
  • returntext: Mkataba wa Harakati wa Wikimedia
  • unqualifiederror: Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapigakura wanaostahiki. Tafadhali tembelea ukurasa wa msaada kwa mpigakura kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpigakura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapigakura ikiwa unakidhi vigezo.