Mkataba wa Harakati/Kamati ya Uandishi/Tangazo - Asante na hatua zinazofuata
Appearance
Asante kwa ushiriki wako katika kura ya uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati
- Unaweza kupata ujumbe huu ukiwa umetafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki. Please help translate to your language
Habarini nyote,
Asanteni watu binafsi 2451 na washirika 129 kwa kushiriki katika kura ya uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati wa Wikimedia. Asante kwa wale walioshirikisha maoni ya ziada pamoja na kura!
Sasa tutaendelea na kukagua kura. Matokeo yatachapishwa haraka iwezekanavyo, si zaidi ya mwisho wa Julai 2024. Kisha tutafuatilia na muhtasari wa hatua zinazofuata, kulingana na matokeo ya kura.
Kwa niaba ya Kamati ya Uandishi wa Mkataba wa Harakati na Tume ya Uchaguzi ya Mkataba,