Mkataba wa Harakati/Kamati ya Uandishi/Tangazo - Ukumbusho wa kura ya Kuidhinisha (wapigakura wa zamani)
Appearance
Ukumbusho wa kupiga kura sasa ili kuridhia Mkataba wa Harakati wa Wikimedia
- Unaweza kupata ujumbe huu ukiwa umetafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki. Please help translate to your language
Mpendwa Mwanawikimedia,
Unapokea ujumbe huu kwa sababu awali ulipiga kura katika uchaguzi wa 2021 Kamati ya Uandishi wa Mkataba wa Harakati (MCDC).
Huu ni ukumbusho kwamba ikiwa bado hujapiga kura ya uidhinishaji wa rasimu ya mwisho ya Mkataba wa Harakati za Wikimedia, tafadhali fanya hivyo kabla ya Julai 9, 2024 katika 23:59 UTC.
Unaweza kusoma andiko la mwisho la Mkataba wa Harakati wa Wikimedia katika lugha yako. Kufuatia hilo, angalia kama unastahiki kupiga kura. Ikiwa unastahiki, piga kura yako kwenye SecurePoll.
Kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi ya Mkataba,