Jump to content

Wikimedia Foundation elections 2013/Vote Questions/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections 2013/Vote Questions and the translation is 90% complete.
Info The election ended 22 June 2013. No more votes will be accepted.

The results were announced on 24 June 2013.

Help translate the election.

Maelezo kwa Wapiga kura

Mahitaji

Wahariri

Mtapiga kura katika moja wapo ya miradi ya Wikimedia wiki uliyosajili akaunti, Utapiga kura mara moja tu, bila kujali una akaunti ngapi ulizojisajili, ili kuwa na sifa,hii akaunti yako ni muhimu:

  • akaunt yako imefungiwa zaidi ya mradi mmoja; na
  • akaunt yako isiwe imefungiwa kwenye mradi unaoutumia kupiga kura; na
  • akaunt yako isiwe bot; na
  • angalau akaunti yako iwe imesha hariri maneno yasiyopungua 300 kabla ya tarehe 15, april 2013 kupitia miradi ya Wikimedia (hata kama utakuwa umehariri katika miradi mingine basi itjumlishwa na kuhesabiwa kwenye Grobal akaunti); na
  • angalau akaunti hiyo iwe imehariri maneno yasiyo pungua 20 kati ya tarehe 15, Disemba 2012 na tarehe 30, april 2013.
Waendelexaji

waendeleszaji watastahili kupiga kura ikiwa tu:

  • wawe watendaji wa sever ya Wikimedia na kupata ganda; au
  • angalau wawe walijiunga kati ya 1, may 2012 na 30, Aril 2013.
Watumishi na waliona mkataba

watumishi wote wa wikimedia na waliokatika mkataba wanaruhusiwa kupiga kura iwapo waliajiliwa katika shirika tarehe 30 April th 2013.

Wajumbe wa Baraza la Wadhamini na Wajumbe wa Baraza la Ushauri wajumbe waliopo na wajumbe wa zamani Baraza la wadhamini na Baraza la washauri wana sifa ya kupiga kura.

Jinsi ya upigaji kura

Kama unasifa ya kupiga kura:

  1. Soma maelezo ya wagombea kisha amua mgombea yupi unamuunga mkono.
  2. nenda kwenye ukurasa wa wiki maalum:mahali pa salama pa kupigia kura kwenye mradi ambao unastahili kupigia kura. Kwa mfano, kama upo hai katika miradi ya wiki meta.wikimedia.orgnenda kwenye meta.wikimedia.org/wiki/Special:Securepoll.
  3. fuata maelekezo katika ukurasa huo.

Maswali ya kawaida

Wapiga kura wenye sifa wanaposhindwa kupiga kura

Utapokea ujumbe "samahani, haupo katika orodha ya watumiaji waliorusiwa kupiga kura kwenye uchaguzi huu."

Solutions

  1. Hakikisha kwamba umejisali
  2. Hakikisha unapigia kura kwenye mradi ambao upo hai
  3. Kama ni mwendelezaji, mtumishi wa WMF, au Mjumbe wa Baraza bla ushauri, kamati ya uchaguzi italinganisha kwenye jina lako la halisi la mtumiaji. Utawasiliana James Jalexander ili kuongezwa kwenye orodha.
  4. Kama bado huwezi kupiga na unadhani unaweza kuacha ujumbe kwenye election ukurasa wa mazungumzo au wasiliana na kamati ya uchaguzi kwa njia ya barua pepe.

Wapigakura stahiki wanaotaka kubadilisha kura

Fuata taratibu ulizozitumia wakati wa upigaji kura wakwanza. Kumbuka, hata hivyo, kwamba ni lazima kupiga katika maeneo yote matatu ya uchaguzi (Ombuds, FDC, na Baraza la Wadhamini). kura zako harisi ya kwanza itaondolewa.

Maswali mengine hayajaorodheshwa hapa

Kwa matatizo ya kiufundi au mfumo wa upigaji kura, tafadhari tuma barua pepe: board-elections(_AT_)wikimedia.org. Kamati ya uchaguzi watakujibu kwa njia ya barua pepe haraka iwezekanavyo. Tafadhari jitambulishe kwa jina ulilokuwa unalitumia kupiga kura.