Chaguzi za Wikimedia Foundation/2022/Tangazo/Barua pepe ya mpiga kura wa Bodi
Piga kura yako katika uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia 2022
Mpendwa $USERNAME,
Tunawasiliana nawe kwa kuwa una vigezo vya kupiga kura katika uchaguzi wa 2022 wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation, ambao umeanza hivi punde.
Wikimedia Foundation inaendesha miradi kama vile $ACTIVEPROJECT na inaongozwa na Bodi ya Wadhamini, ikiwa ni chombo cha kufanya maamuzi cha Shirika la Wikimedia Foundation. Pata maelezo zaidi kuhusu Bodi ya Wadhamini.
Mwaka huu viti viwili vitachaguliwa kwa kura ya jumuiya. Wagombea sita kutoka kote ulimwenguni wanawania viti hivi. Pata maelezo zaidi kuhusu Wagombea wa Bodi ya Wadhamini 2022.
Hii ndiyo sababu wewe pamoja na zaidi ya wanachama wengine 67,000 duniani kote wa jumuiya mnaombwa kupiga kura. Upigaji kura ulianza saa 00:00 UTC Agosti 23 na utamalizika Septemba 6 saa 23:59 UTC. Ili kupiga kura, nenda kwenye [$SERVER/wiki/Special:SecurePoll/vote/Wikimedia_Foundation_Board_Elections_2022 SecurePoll kwenye $ACTIVEPROJECT].
Soma maelezo zaidi kuhusu uchaguzi huu.
Imesainiwa,
Mkakati wa Harakati na Utawala Ujumbe huu ulitumwa kwa niaba ya Kamati ya Uchaguzi
Barua hii imetumwa kwako kwa vile umesajili anuani ya barua pepe yako kwa Shirika la Wikimedia Foundation. Ili kujiondoa kupata arifa za uchaguzi ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye Orodha ya wasiopokea barua pepe za Wikimedia.
Plain text version
Mpendwa $USERNAME, Tunawasiliana nawe kwa kuwa una vigezo vya kupiga kura katika uchaguzi wa 2022 wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation, ambao umeanza hivi punde. Wikimedia Foundation inaendesha miradi kama vile $ACTIVEPROJECT na inaongozwa na Bodi ya Wadhamini, ikiwa ni chombo cha kufanya maamuzi cha Shirika la Wikimedia Foundation. Pata maelezo zaidi kuhusu Bodi ya Wadhamini: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_Board_of_Trustees/Overview> Mwaka huu viti viwili vitachaguliwa kwa kura ya jumuiya. Wagombea sita kutoka kote ulimwenguni wanawania viti hivi. Pata maelezo zaidi kuhusu Wagombea wa Bodi ya Wadhamini 2022: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/2022/Candidates> Hii ndiyo sababu wewe pamoja na zaidi ya wanachama wengine 67,000 duniani kote wa jumuiya mnaombwa kupiga kura. Upigaji kura ulianza saa 00:00 UTC Agosti 23 na utamalizika Septemba 6 saa 23:59 UTC. Ili kupiga kura, nenda kwenye SecurePoll kwenye $ACTIVEPROJECT <$SERVER/wiki/Special:SecurePoll/vote/Wikimedia_Foundation_Board_Elections_2022> Soma maelezo zaidi kuhusu uchaguzi huu: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/2022> Imesainiwa, Mkakati wa Harakati na Utawala Ujumbe huu ulitumwa kwa niaba ya Kamati ya Uchaguzi Barua hii imetumwa kwako kwa vile umesajili barua pepe yako kwa Shirika la Wikimedia Foundation. Ili kujiondoa kwenye arifa ya uchaguzi ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye Orodha ya wasiopokea barua pepe za Wikimedia <https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_nomail_list>.