Jump to content

Wikimedia Foundation elections/2021/2021-06-09/Call for Candidates/Short/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2021/2021-06-09/Call for Candidates/Short and the translation is 100% complete.

The election ended 31 Agosti 2021. No more votes will be accepted.
The results were announced on 7 Septemba 2021. Please consider submitting any feedback regarding the 2021 election on the elections' post analysis page.

2021 Board Elections
Main Page
Candidates
Voting information
Single Transferable Vote
Results
Discussions
FAQ
Questions
Organization
Translation
Documentation
This box: view · talk · edit

Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini 2021 umekaribia. Wagombea kutoka kwenye jumuiya wanahitajika kujaza nafasi zilizopo.

Bodi ya wadhamini ya Wikimedia Foundation inaratibu shughuli za Shirikika hili.Wajumbe wa Bodi ya wadhamini kutoka katika jumuiya na wale watakaoteuliwa watatengeneza Bodi ya Wadhamini.Kila mdhamini atatumikia kipindi cha miaka mitatu. Jumuiya za Wikimedia zinayo nafasi ya kuwapigia kura watu watakaokuwa wadhamini.

Wachangiaji wa miradi ya Wikimedia watapiga kura kuchagua nafasi nne katika Bodi mwaka huu wa 2021.Hii ni nafsi ya kuboresha uwakilishi, utofauti na utaalamu wa Bodi kama timu.

Akina nani wanafaa kuwa wagombea? Wewe ni mgombea mwenye sifa? Pata taarifa zaidi katika ukurasa wa kutuma maombi

Asante kwa msaada wako,

Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation