Jump to content

User talk:Abbasjnr/Sandbox

Add topic
From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Latest comment: 14 years ago by Muddyb Blast Producer

Jaribu hapa Abbas! Tutaongea na kupanga kila kitu hapahapa - kwa sababu kwenye Kiswahili kuna baadhi ya vitu kule kwenye Kiswahili havionekani. Tujaribu, kaka.--Wikipedian (Activist) 08:21, 26 August 2010 (UTC)Reply


Salaam, Muddyb! Sasa hebu nikuulize: hiyo tafsiri ya kutoka kwa en meta nitaiweka wapi exactly? Kwenye user page, ama? --Abbasjnr 06:55, 3 September 2010 (UTC)Reply
Tafsiri ya en meta ipo hapa: http://meta.wikimedia.org/wiki/User:Abbasjnr/Sandbox kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Tafsiri vile upendavyo halafu "save" na wala hakuna kitakachoharibika! Kwa sababu yale yote yapo kwenye ukurasa wako. Baadaye, tuna-ya-kopi- na kuweka kwenye ukurasa wa mwanzo wa meta. Umeelewa?--Wikipedian (Activist) 15:13, 3 September 2010 (UTC)Reply