Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili/Miongozo ya utekelezaji iliyorekebishwa/Tangazo/Upigaji Kura 2
Appearance
This page is currently being updated and translated by Wikimedia Foundation staff and contractors. |
Upigaji kura sasa umefunguliwa kwa Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
Habarini nyote,
Kipindi cha upigaji kura kwa Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili sasa kimefunguliwa! Upigaji kura utafunguliwa kwa wiki mbili na utafungwa saa 23.59 UTC mnamo Januari 31, 2023. Tafadhali tembelea ukurasa wa maelezo ya mpiga kura kwenye Meta-wiki kwa maelezo ya ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kupiga kura.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Miongozo ya Utekelezaji na mchakato wa kupiga kura, angalia ujumbe uliotangulia.
Kwa niaba ya Timu ya Mradi wa UCoC,