Jump to content

Universal Code of Conduct/Revised enforcement guidelines/Announcement/Voting/Email 2/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Upigaji kura utafungwa hivi karibuni kuhusu Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili

Mpendwa $USERNAME,

Upigaji kura kuhusu Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili unafungwa katika siku tatu saa 23.59 UTC mnamo Januari 31, 2023.

Tafadhali tembelea ukurasa wa maelezo ya mpiga kura kwenye Meta-wiki kwa maelezo ya ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kupiga kura.

Maelezo zaidi kuhusu Miongozo ya Utekelezaji na mchakato wa kupiga kura yanapatikana katika ujumbe uliotangulia.

Kwa niaba ya Timu ya Mradi wa UCoC,

Barua hii imetumwa kwako kwa vile umesajili anuani ya barua pepe yako kwa Shirika la Wikimedia Foundation. Ili kujiondoa kupata arifa za uchaguzi ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye Orodha ya wasiopokea barua pepe za Wikimedia.

Plain text version

Mpendwa $USERNAME,

Upigaji kura kuhusu Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines> unafungwa katika siku tatu saa 23.59 UTC mnamo Januari 31, 2023.

Tafadhali tembelea ukurasa wa maelezo ya mpiga kura kwenye Meta-wiki <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines/Voter_information> kwa maelezo ya ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kupiga kura.

Maelezo zaidi kuhusu Miongozo ya Utekelezaji na mchakato wa kupiga kura yanapatikana katika ujumbe uliotangulia <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines/Announcement/Voting_1>.

Kwa niaba ya Timu ya Mradi wa UCoC,

Barua pepe hii imetumwa kwako kwakuwa ulijiandikisha na barua pepe yako kwenye miradi ya Wikimedia Foundation. Ili kutokupata tena ujumbe kama huu kwa wakati ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye orodha ya watu wasiopata jumbe za Wikimedia
<https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_nomail_list>.