Template:StrategyButton/editintro/sw
Unapo karibishwa kuendelea kujadili hapa, tafadhali jua ya kwambamawasilisho ya mbaleleni hayata durusiwa na wataalam. Na tuna tarajia kuongea na wewe kwa upana kuhusu miswada itakayo kua imechipuka katika siku zijazo Unapo karibishwa kuendelea kujadili hapa, tafadhali jua ya kwambamawasilisho ya mbaleleni hayata durusiwa na wataalam. Na tuna tarajia kuongea na wewe kwa upana kuhusu miswada itakayo kua imechipuka katika siku zijazo. |
Asante kwa kushiriki mawazo yako kuhusu maswali haya ya mkakati!
Tafadhali hakikisha umejumuisha jina lako la mtumiaji, ikiwa unalo. Ikiwa huna, usiwe na wasiwasi. Pia, tafadhali kumbuka kwamba majibu yote yanawekwa hadharini na kwamba kwa kuyawasilisha hapa unayaweka katika kikoa cha umma, ili tuweze kuyatumia au kuyawasilisha kwa utafiti au madhumuni mengine.Tafadhali usitoe data ya kibinafsi hapa.
Maswali ya kujibiwa ni:
- Je, ni mienendo ipi mikuu unayoweza kutambua mbali na rununu na watumiaji bilioni moja wajao?
- Kulingana na mienendo ya siku za usoni unayofikira kuwa muhimu, je, miradi inayostawi na bora ya Wikimedia inaweza kufanana vipi?
Ili kufanya majadiliano yawe kwenye mpangilio sekta zitawekwa kwenye makavazi kwa siku tatu au masaa sabini na mbili au zaidi.kama ukurasa utakua na majadiliano mengi nafasi kubwa ya kazi itawekwa kwenye makavazi mapema kama majadiliano yamebadilika
"Tafadhali tanbihi: Huna haja ya kujaza pebgo Somo/Kichwa kwa kua kifaa kiko kitafanya hayo yote"