Mkataba wa Harakati/Kamati ya Uandishi/Tangazo - Ukumbusho wa Mwisho
Appearance
Upigaji kura ili kuidhinisha Mkataba wa Harakati wa Wikimedia unamalizika hivi karibuni
- Unaweza kupata ujumbe huu ukiwa umetafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki. Please help translate to your language
Habarini nyote,
Huu ni ukumbusho kwamba muda wa kupiga kura wa kuidhinisha Mkataba wa Harakati wa Wikimedia utafungwa tarehe Julai 9, 2024, saa 23:59 UTC.
Ikiwa bado hujapiga kura, tafadhali piga kura kwenye SecurePoll.
Kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi ya Mkataba,