Jump to content

Mwanzo

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Main Page and the translation is 100% complete.

Meta-Wiki

Karibu kwenye Meta-Wiki, ni wavuti ya jumuia ya miradi ya Wikimedia Foundation na miradi yake mingine inayohusiana, kuanzia uratibu na utunzaji wa hati na uchambuzi wa mipango kwa ajili ya Wikimedia.

Wiki zingine ambazo meta pia hutazamia ni pamoja na Wikimedia Outreach miradi maalumu ambayo ina mizizi yake katika Meta-Wiki. Majadiliano yanayohusiana na Meta nayo huchukua nafasi yake katika orodha ya utumiwaji wa barua-pepe za Wikimedia (hasa katika wikimedia-l, ikiwa na usawa mdogo wa utembelewaji wa watu wa WikimediaAnnounce), Idhaa ya IRC kwenye Libera, wiki moja baada ya nyingine na chapter zake, n.k.

Jumuia na mawasiliano
Wikimedia Foundation, Meta-Wiki, na miradi yake mingine
The Wikimedia Foundation is the overarching non-profit foundation that owns the Wikimedia servers along with the domain names, logos and trademarks of all Wikimedia projects and MediaWiki. Meta-Wiki is the coordination wiki for the various Wikimedia wikis.