Fundraising 2011/Core messages/sw
Appearance
(Redirected from Fundraising 2010/Core messages/sw)
Pages for translation: [edit status] | |||||||||
Interface messages high priority Translated on Translatewiki. Get started. |
In progress | ||||||||
Banners and LPs (source) high priority |
Published | ||||||||
Banners 2 (source) high priority |
In progress | ||||||||
Jimmy Letter 002 (source) high priority |
Published | ||||||||
Jimmy Letter 003 (source) variation of Jimmy Letter 002 |
Missing | ||||||||
Jimmy Letter 004 (source) variation of Jimmy Letter 002 |
Missing | ||||||||
Jimmy Mail (source) variation of Jimmy Letter 002 |
Missing | ||||||||
Brandon Letter (source) | In progress | ||||||||
Alan Letter (source) | In progress | ||||||||
Kaldari Letter (source) | Missing | ||||||||
Karthik Letter (source) | Missing | ||||||||
Thank You Mail (source) | In progress | ||||||||
Thank You Page (source) | Ready | ||||||||
Problems donating (source) | Missing | ||||||||
Recurring giving (source) | Missing | ||||||||
Sue Thank You (source) | Missing | ||||||||
FAQ (source) low priority |
In progress | ||||||||
Various requests: Mail to past donors · Jimmy quote | |||||||||
Outdated requests:
|
Translation instructions |
---|
If you have any questions or feedback regarding the translation process, please post them here. Translation FAQ |
- Landing Pages
- Ukitaka taarifa zaidi au ukitaka kuchangia kwa kupitia njia nyingine bonyeza hapa.
- Hatuhifadhi taarifa za kadi ya mkopo wako. Taarifa juu yako mwenyewe iko chini ya sera ya faragha yetu ya wachangiaji.
- Maombi kutoka kwa Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia.
- Chagua kiasi unachotaka kuchangia:
- Changia sasa
- Nakubali nipokee habari za Wikimedia Foundation mara nyingine.
- Nyingine:
- Inabidi uchangie $1 au zaidi
- Changia kila mwezi
- Tunajitahidi kupata njia rahisi ya kuchangia kwa ajili ya watu toka kila sehemu ya dunia. Tafadhali utujulishe njia gani ndiyo rahisi kuchangia mahali ulipo. Tuma mawazo yako kwa:
- Majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara yanapatikana kwa kubonyeza hapa.
- Una maswali au maoni? Andika kwa: donate@wikimedia.org
- Banners / LP
- Tafadhali soma barua ya maombi ya Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia.
- Soma sasa
- Utusaidie kufika kikomo chetu: $ milioni 24
- Buttons
- Changia kwa kupitia kadi ya mkopo
- Changia kwa kupitia PayPal
- Changia kwa Uhawilisho wa Benki
- Where your donation goes
- Mambo yanayogharimiwa na mchango wako
- Teknolojia: Seva, upana-bendi, matengenezo, maendeleo. Wikipedia ni tovuti ya 5 katika matumizi ya tovuti zote za dunia, na gharama ya kuiendesha ni ndogo sana kwa kulinganisha na gharama za kuendesha tovuti zingine kubwa
- Watu: Tovuti zingine kati ya 10 kubwa zina maelfu ya wafanyakazi. Sisi hatuna hata 100, kwa hiyo mchango wako unafanyiwa kazi sana katika shirika fanisi lisiloendeshwa ili kuchuma faida.
- Thank You / Stories
- Soma sababu za wachangiaji wengine za kuchangia katika Wikipedia na miradi mingine ya Wikimedia. Au soma orodha ya kampuni zinazotoa ruzuku katika miradi inayosaidiwa na wafanyakazi wao (corporate matching gift program (USA)).
Waambie wengine kwamba unachangia katika Wikimedia: andika tweet na hashtag #keepitfree! - Ukiweka alama katika kisanduku hiki, unawaruhusu akina Wikimedia Foundation wawasiliane nawe kuhusu sababu zako za kuchangia ulivyoeleza, na kuitumia habari zako kueneza jina la Wikimedia Foundation na miradi yake.
- Sio lazima
- Umri